
versuri 01. anakupenda - mic gower
intro [ mic gower & chazz barton ]
verse 1 [ mic gower ]
umenitoa mbali, jesus!
umeniweka safi , jesus!
ts like magic, oh right
but ni baraka zako, nice!
kila siku ni ku fight vita vya nyama
ukaniweka wazi
niko safi , sina stress, na spit grace
no jockin, uh
kama unampenda yesu njoo!
najua vtu vingi tuff, bro!
kwake yesu life simple , wooow!
kuomba , bible , kufunga
mahubiri, kuimba na kucheza
ku shine, swaggz, am blessed!
namshukuru yeye, kanipa amani ,na furaha tele moyoni
chorus [ chazz barton ]
ni upendo wa moyoni
ni upendo wa rohoni
he loves you, x4
anakupenda (2)
verse 2 [ mic gower ]
anakupenda, anakujali
ataki yeye uwende, mbali
ya nini, ujichafue, kwa nini?
ewe kijana, kaka, dada
fanya maamuzi sahihi
mfate yesu uwokolewe
haijalishi mzigo mzito kiasi gani
yeye ni njia ya uzima wa milele
ujana ndani ya wokovu ni raha
tenda neno , fata neno
jikane kwanza, jijali sana, mfate sana
remission day yu know u got t, mambo yote yako shware
r4c , no swet, we done it
kwa yesu kuzuri, kwa yesu amani
kwa yesu furaha, kwa yesu shwari kuu
chorus [ chazz barton ]
ni upendo wa moyoni
ni upendo wa rohoni
he loves you, x4
anakupenda (2)
versuri aleatorii
- versuri the things i do for love – foliage > foliage
- versuri sfregio – bruuno > bruuno
- versuri something to believe in – young the giant > young the giant
- versuri lo vi – amanda miguel y diego verdaguer > amanda miguel y diego verdaguer
- versuri con tantas ganas (feat. chang) – galante “el emperador” feat. chang > galante el emperador feat chang
- versuri then i saw the lion – christopher sean > christopher sean
- versuri błysk – hey > hey
- versuri happy hustler – radio radio > radio radio
- versuri we ride – 2eaze > 2eaze
- versuri h.o.l.y. – florida georgia line > florida georgia line
- versuri spoon – lightnin’ rod > lightnin rod
- versuri concrete brothers – nits > nits
- versuri bonus track – yung lean > yung lean
- versuri tanti auguri sheesh! – g-pillola > g pillola
- versuri svnchxz – stan oni crime > stan oni crime
- versuri das letzte mal im leben – farid bang > farid bang
- versuri épouser un tas d’oseille (remix) – big budha cheez > big budha cheez
- versuri with you – drake > drake
- versuri enn – onelegman > onelegman
- versuri fireproof – coleman hell > coleman hell